TAASISI ZA FEDHA ZARIDHISHWA NA UTATUZI WA KERO ZAO

Na Mwandishi Maalum
Dodoma-Imeelezwa kuwa vikao kati ya Serikali na Wawakilishi wa Benki na Taasisi za fedha vinavyoratibiwa na Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali vimeanza kuleta matokeo Chanya.
Hayo yameelezwa na Mwakilishi wa Benki ya CRDB Bw. Prosper Mwangamila wakati wa kikao kati ya Serikali na Umoja wa Benki Tanzania (Tanzania Banker’s Association-TBA) kilichofanyika katika Ukumbi wa Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali,Mtumba, Dodoma.
“Tunaishukuru Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali kwa kuandaa vikao hivi kwani vimeleta matokeo chanya ambapo kwa sasa mashauri yanayohusu benki yamekuwa yakipewa kipaumbele” akasema Bw. Mwangamila.
Hata hivyo, pamoja na kutoa shukrani hizo, Mwakilishi huyo kutoka CRDB aliongeza kuwa bado zipo changamoto zinazotokana na rasilimali hasa katika Mabaraza ya Ardhi na Nyumba ya Wilaya.
Kikao hicho kilikuwa chini ya Uenyekiti wa Bw. Ipyana Mlilo, Mkurugenzi Msaidizi Sehemu ya Uratibu, Divisheni ya Uratibu na Huduma za Ushauri wa Kisheria (DCAS).
Akifungua kikao hicho Bw. Ipyana Mlilo aliwaeleza wajumbe kuwa kikao hicho ni muendelezo wa utekelezaji wa maelekezo ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mhe. Jaji Dkt. Eliezer Feleshi ya kuwataka kukutana mara kwa mara ili pamoja na mambo mengine kuhakikisha hatua mbalimbali zinachukuliwa za kutatua changamoto zinazoikabili Sekta ya Fedha hapa nchini.
Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa Kikao Bw. Mlilo, kikao hicho cha Alhamisi tarehe 10 Agosti 2023, wajumbe walijadiliana kwa kina changamoto na maazimio yaliyoazimiwa katika kikao kilichofanyika mwishoni mwa mwezi February 2023 Mkoani Dar es Salaam.
Akizungumzia changamoto zinazohusu Mabaraza ya Ardhi na Nyumba ya Wilaya ambazo zimekuwa zikilalamikiwa na Benki na Taasisi za Fedha, Mwakilishi kutoka Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Bi. Hellen Phillip Njau, alikieleza kikao hicho kwamba, Serikali pamoja na mambo mengine imendelea kuajiri watumishi wapya kwenye Mabaraza ya Ardhi na Nyumba ya Wilaya ili kukabiliana na upungufu wa watumishi.
Akabinisha kuwa, Wizara imeendelea kutekeleza hatua kwa hatua baadhi ya changamoto zinazojitokeza katika mabaraza hayo. Baadhi ya maeneo ambayo yanamashauri zaidi ya 400 wameongezwa wenyeviti zaidi ya mmoja na hivyo kupunguza tatizo la ucheleweshaji wa mashauri.
Naye Mwakilishi kutoka Ofisi ya Rais- TAMISEMI, Bi. Antelma Mtemahanji akielezea changamoto ya baadhi ya Wakuu wa Mikoa na Wilaya kujiwekea utaratibu wa kutoa vibali au kuendesha majadiliano ya ulipaji wa madeni nje ya hukumu za mahakama, na kwamba, Katibu Mkuu OR- TAMISEMI ameendelea kutoa maelekezo na miongozo kwa Wakuu wa Mikoa na Wilaya ya kutotakiwa kutoa vibali au kuingilia suala la ulipaji wa madeni bali wao wanapaswa kupewa taarifa tu.
Kuhusu changamoto ya urejeshwaii wa fedha zinazotokana na Majadiliano ya Mashauri ya Jinai ( Plea Bargaining ) Mwakilishi kutoka Ofisi ya Taifa ya Mashtaka Bw. Patrick Mwita ameeleza kuwa baadhi ya barua zilizoandikwa na Benki zilizokuwa na kesi za jinai zimefika katika Ofisi hiyo na Taasisi zinazohusika zimejulishwa kwaajili ya malipo.
Aidha katika kutatua changamoto ya upotevu wa baadhi ya majalada ya mashauri ya ardhi na Waheshimiwa Mahakimu kuto ridhia matumizi ya nakala za mafaili husika, changamoto hiyo imeelezwa kuanza kufanyiwa kazi kati ya Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali kwa kushirikiana na Wizara ya Ardhi na Mahakama kwa kuunda Mfumo wa Mashauri ( Intergrated Land Cases Management System (ILCMS) na kwamba mfumo huo upo katia hatua za majaribio.
Kwa kauli moja wajumbe wa kikao hicho baada ya kujadili changamoto hizo, walikubaliana kwamba, TBA wawasilishe changamoto hizo kwa Msajili wa Mabaraza ya Ardhi ya Wilaya pamoja na Ofisi ya Rais-TAMISEMI na kunakilishwa Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali ili changamoto hizo ziweze kufanyiwa kazi.
Vile vile katika kikao hicho wajumbe wamezishauri Benki kutoa taarifa muda wowote kwenye mamlaka hizo pindi wanapokutana na changamoto za kiutawala.
Kikao hicho kimehusisha pia Ofisi ya Rais- TAMISEMI, Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Msajili wa Hati, Ofisi ya Taifa ya Mashtaka na Benki za Biashara ikiwemo CRDB,NMB na Equity.
Itakumbukwa kuwa katika Mkutano Mkuu wa Chama cha Mawakili wa Serikali uliofanyika tarehe 29 Septemba, 2022, Mhe.Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania alitoa maekelezo kwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali yakumtaka akae na wawakilishi wa benki na taasisi za fedha ili kutatua changamoto zao ikiwemo ya mlundikano wa mashauri katika Mabaraza ya Ardhi na Nyumba ya Wilaya na Mahakamani.
mwisho
11/8/2023

Hayo yameelezwa na Mwakilishi wa Benki ya CRDB Bw. Prosper Mwangamila wakati wa kikao kati ya Serikali na Umoja wa Benki Tanzania (Tanzania Banker’s