Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Ofisi ya mwanasheria mkuu wa serikali
UONGOZI MPYA WA TLS WAJITAMBULISHA KWA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI
service image

• Waomba  udhibiti   Mawakili  Vishoka

• Awataka  kuepukana na  Uanaharakati

Na Mwandishi Maalum

Uongozi mpya wa Chama cha Mawakili  Cha Tanganyika (TLS) umejitambulisha  rasmi  kwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mhe. Jaji Dkt. Eliezer  Mbuki  Feleshi.

Viongozi hao ambao ni Baraza la  Uongozi  (Governing Council)  wakiongozwa na Rais wa  TLS Bw.  Harold Sungusia waliomba kumtembelea  (courtecy call) na kufanya  mazungumzo Mwanasheria Mkuu wa  Serikali mnamo tarehe 10 Agosti, 2023 katika Ofisi yake mkoani Dar es Salaam.

Katika mazungumzo  hayo, pamoja na kujitambulisha kwa Mhe. Mwanasheria Mkuu wa Serikali, viongozi hao  wa TLS waliwasilisha na  kujadiliana na   Mwanasheria Mkuu wa Serikali masuala mbalimbali yanayohusu Chama hicho (TLS) na Tasnia ya Sheria  katika ujumla wake.

“Mhe. Mwanasheria  Mkuu wa Serikali  tuliomba kuja kukutana nawe kama sehemu ya kujitabulisha au kuutambulisha Uongozi  mpya wa TLS lakini kubwa zaidi ni kujenga  uhusiano mzuri na  ushirikiano baina ya Serikali na TLS”,  alisema Rais wa TLS Bw. Harold Sungusia.

 Masuala ambayo uongozi  wa TLS uliwasilisha na kumwomba  Mwanasheria  Mkuu wa Serikali awasaidie ni pamoja na mapendekezo  ya Mabadiliko ya Sheria ya Chama cha Mawakili Tanganyika ambayo yalitarajiwa kuwasilishwa kwenye Kikao cha Bunge la  mwezi Januari, 2023.

Bw. Sungusia alisema, "TLS iliwasilisha mapendekezo ya mabadiliko ya Sheria ya TLS na ilitarajia mabadiliko hayo yangewasilishwa kwenye Kikao cha Bunge cha Mwezi Januari, 2023. Kwa kuwa bado mabadiliko ya Sheria hiyo hajawasilishwa Bungeni, tunakuomba  Mwanasheria Mkuu utusaidie  kuwasilisha mapendekezo hayo Bungeni.”

Aidha, hoja  nyingine iliyowasilishwa  na Uongozi wa TLS kwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali  Mhe. Jaji Dkt. Feleshi ilihusu kutambua mihuri ya kielectroniki.

Katika hoja hii, TLS ilieleza na kubainisha  kwamba, mihuri ya kielektroniki iliwekwa kwa ajili ya kuepusha vishoka. Hata hivyo, kwa mujibu wa TLS, Sheria ya Makamishna wa Viapo (The notaries and Public and Commissioners for Oaths) imetambua Mawakili wa Serikali na Mahakimu kama Makamishna wa viapo.

 Vile vile, vifungu namba 10 na 11 vimetoa nguvu kwa baadhi ya Maafisa ambao sio Mawakili kuweza kutoa viapo. "Mhe. Mwanasheria Mkuu wa Serikali, suala hili linasababisha ongezeko la vishoka. Hivyo, TLS  inapendekeza  kuwe na marekebisho ya Sheria hii na kuacha nguvu ya kutoa viapo kwa Mawakili. Pia, tunapendekeza kuwe na kikosi kazi cha kuchunguza matumizi ya mihuri iliyo sahihi kwa Mawakili”. Aliongeza Rais wa TLS.

Ushirikishwaji wa mawakili binafsi kwenye kesi za umma ni  pendekezo jingine  lililowasilishwa na Uongozi wa TLS kwa Mwanasheria Mkuu ambapo katika eneo hili, TLS iliomba kupitia kwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali Serikali iwe inawatumia pia Mawakili binafsi katika  uendeshaji wa   mashauri ya umma na kwenye miradi mikubwa ya Serikali.

Vile vile, TLS  imeomba Mawakili Vijana kupewa fursa ya kujifunza ili  kukuza na kuwajengea uwezo kwenye maeneno mbalimbali ya  Kisheria.

Katika kikao hicho, TLS waliomba pia kuangalia au kupitia Taratibu za kukazia hukumu dhidi ya Serikali. TLS  walimfahamisha  Mwanasheria Mkuu wa Serikali  kwamba,   Taratibu za kukazia Hukumu dhidi ya Serikali ni ngumu na kusababisha wadau kuchelewa kupata haki  na hivyo kuomba taratibu hizo ziangaliwe upya.

Kwa upande wake  Mwanasheria Mkuu wa Serikali  Mhe. Jaji Dkt. Eliezer Mbuki Feleshi, akijibu hoja mbalimbali zilizowasilishwa  kwake na Uongozi wa TLS, pamoja na kuupongeza Uongozi mpya na TLS kwa ujumla kwa  kazi nzuri, amekitaka Chama cha Mawakili  cha Tanganyika (TLS) kiwasilishe Sheria zote zinazohitaji marekebisho Wizara ya Katiba na Sheria.

 Aidha, Mhe. Jaji Dkt. Feleshi aliuambia Uongozi huo  kwamba, Mapendekezo ya mabadiliko ya Sheria ya TLS yatawasilishwa  Mhe. Waziri wa Katiba na Sheria kwenye Kikao cha kumi na mbili (12) cha Bunge.

Kuhusu hoja ya  Mawakili wa Kujitegemea kuendesha  mashauri mbalimbali ya  Umma, Mwanasheria Mkuu wa Serikali amesema  Serikali imekuwa  na itaendelea kufanya kazi  na Mawakili wa Serikali  katika uendeshaji wa mashauri hayo na kwamba, Serikali  inawakaribisha Mawakili binafsi kufanya kazi na Serikali.

Hata hivyo, pamoja na utayari wa Serikali wa kufanya kazi na Mawakili binafsi, Mwanasheria  Mkuu wa Serikali ameitaka TLS  kuainisha na kuwasilisha  Serikalini ujuzi wa Mawakili wake pamoja na maeneo ya ubobevu ili Serikali iweze kuwatumia pale kunapokuwa na uhitaji.

Kuhusu suala la kuwaondoa maafisa ambao si wanasheria kuchukua viapo, Mwanasheria Mkuu  ameitaka TLS kuwasilisha mapendezo ya kuondoa nguvu hizo kwa maafisa ambao si wanasheria kuchukua viapo ili yafanyiwe kazi.

Kwa upande wa kuwaendeleza na kuwajengea uwezo na maarifa Mawakili Vijana, Mwanasheria Mkuu  amewataka Mawakili  Waadamizi kufungua milango ya kuwafundisha Mawakili Vijana(mentorship) na akaitaka TLS kuwa wabunifu zaidi ya  namna bora ya  kuwasaidia Mawakili Vijana.

 Aidha, Mwanasheria Mkuu wa Serikali ,ameshauri kuangaliwa upya mfumo wa Sheria nchini na  ikiwezekana kufungua milango ya watu  wa kada mbalimbali  kusoma Sheria kama shahada ya pili ili kuongeza uwezo wa Mawakili.

Katika hatua nyingine, Mwanasheria Mkuu  wa Serikali Mhe. Jaji Dkt. Eliezer Feleshi   amewahimiza na  kuwaasa Mawakili wote kuongeza uadilifu na uwajibikaji hasa kwa kuzingatia kwamba wao  ni Mawakili na Maafisa wa Haki na hivyo  kipaumbele chao kiwe ni  utoaji na usimamiaji haki na si fedha. 

Mhe. Jaji Dkt. Feleshi  kupitia TLS ametoa wito  kwa Mawakili  wote  kuzingatia umuhimu wa ushirikiano na kusaidiana  kwa maslahi ya Watanzania na Taifa kwa ujumla wakati huo huo akawekea mkazo haja ya kupunguza uanaharakati hasa kwa masuala yanayohusu utaalamu ili kutoa fursa kwa wanataaluma kuyashughulikia kitaalamu na kwa dhamiri yenye Uzalendo na maslahi kwa Taifa.

Mwisho.

13/8/2023

“Mhe. Mwanasheria  Mkuu wa Serikali  tuliomba kuja kukutana nawe kama sehemu ya kujitabulisha au kuutambulisha Uongozi  mpya wa TLS lakini kubwa zaidi ni kujenga  uhusiano mzuri na  ushirikiano baina ya Serikali na TLS”,  alisema Rais wa TLS Bw. Har

13 Aug, 2023
Maoni